
Mwana Wako Lyrics
...
Mwana Wako Lyrics by Timam Evans
Wako na a distorted Image about you Yahweh
Wanathani Umejam na wao, Umeshika Nyahunyo
Ukiwa Rada Yao, Ukingoja wateleze
Hawana Revelation ya Love yako Adonai
Enemy amewajaza condemnation
Wamestagnate hawako in motion
It’s a tricky situation
Wanatry kukuplease daily
Na bado wanafeel unworthy daily
I wish wangejua, that nothing can separate us from your kinda Loving...ehhh
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Binadam ni nani, Ukatuma mwana wako aje afe juu yao
Upendo wa aina gani huu, Jehova love yako ni true
Moyoni pamejaa amani, pete chanda
Nikipotea wanirudisha kwenye rada, Najua unaniwazia memaa
Kamwe utaja nilenga
Najua unaniwazia memaa, kamwe hutaja nilenga
Najua unaniwazia memaa
Tangia, Niwe kwa tumbo ya mamaa...ehhhh
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Nimefanyika mwana eh mwanaaa
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Nimefanyika mwana...... Mwanaaa
Nimefanyika mwana.. Mwanaaa
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Me ni mwana wako...Unanipenda deadly
Ulituma mwana wakooo....Duniani adedi
Watch Video
About Mwana Wako
More Timam Evans Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl