General Lyrics
General Lyrics by EXRAY
Knowledge niko nayo mtaogopa
Ile time tutakutana enyewe hamtakagi kuogopa
Knowledge niko nayo mtaogopa
Ile time tutakutana enyewe hamtakagi kuogopa
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
(Byron Baby)
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
Tunaziwasha sha, round this mtaogopa
Washasha enge wajigi itabomoka
Ata bila maffff ukimpea itagonyoka
Breakfast in bed ni Arimis na mogoka
Kumama kumamma kumanyo
Ni kama ni kama imeponyoks
Be- pieces sisi jokes
Alimeza ikamochok
Cross your fingers na usisahau madiaba
Nakupea romance ya wazing nikiwa jaba
Kukichovya ukifyonza unaeza lambwa
Ukijifanya kufungua utapasuka mraba
"Si unihoji vizuri nikujibu swali specific specific
Sa ukiniuliza swali general, general"
Ka ni kunyonga chunga usipake mate nyoka
Gonga ka ni wa kuchana unaeza chonga
Donga wake amemuua jerry kutongoza
Kumama kumamma kumanyo
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
[Maddox]
General ni Iddi Amin Dada
Sichezangi mimi na kina dada
Kimemwozea hio ni kidagaa
Nakupea ukitaka ata kama saga
Zaga zaga zaga zaga zaga dah
Wamlambez saka saka saka sa
Panda panda panda panda panda ra
Wampandez we hupanda ukitaka
Toa hasira na doddy style
Morio hapa huwezi obeyka
Tunakulanga bila sura my dear
Hapa cheki lazima utasondekwa
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
Si specific natakaga general
General general general
Si specific nakupea mineral
Mineral general mineral
General, mineral
Mineral
Watch Video
About General
More lyrics from Movement Vol.1 album
More EXRAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl