Kipepeo Lyrics
...
Kipepeo Lyrics by NADIA MUKAMI
(Nadia
Bruce Melodie)
Ndio nimefika nyumbani
Kill mtu anatabasamu
Kuna furushi la sahani
Na vyakula vingi vitamu
Mamake kaniambia
Eti mwanawe anaoa
Dadake kasisitiza na si we Nadi anaoa
Tulivopendana hatuwahi zozana
Mapenzi kwa sana
Na Leo anaoana
Nilimuekea ahadi nitamzalia wana
Wa kwanza Kai wa pili Zuwena watatu Maria
Nilishamuekea ahadi nitamzalia wana
Wa kwanza Kai wa pili Zuwena watatu Maria
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea aah
Subiri bado nakupenda
And I know na mimi unanipenda
Na sikutarajia kukuvunja moyo
Baby nisamehe
Ila siunajua masaibu yangu ma
Hutowezana na kukosa kwangu ma
Inauma sana kukuacha we
Ila sina budi baby
(Rwandan language)
Ni kweli tulipendana
Hatukuwahi zozana
Mapenzi kwa sana
Na leo naoana
Ila yote mipango ya Mungu
Nakuombea mema
Kubali Safari ya mapenzi boo
Imefika mwisho
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie mi ndo nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea mwambie nampenda
Kipepeo pepea mwambie asioe mwengine
Kipepeo pepea aah
Watch Video
About Kipepeo
More NADIA MUKAMI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl