Mimi Lyrics
Mimi Lyrics by ETHIC
Nimemix keg na jaba ya waba
Mos mos leo ni wikendi nimejitepa
Whitey sundi ndunge kituri
Umemwaga mate yaani mawetete
Leo ni sherehe basi rombosa rombosa
Tingisha kiuno ka umebeba we dondosa
Ka kuna makali kusikose pia matoto
Napenda hio tattoo amechora kwa matako
Oya oya ju mi nina pesa
Na nishakupenda ukinipa mapaja napona
Baby ju mi nina pesa
Na nishakupenda ukinipa mapaja napona
Cheki baby napenda hio denda
Na siwezi kulenga, ukinipa nafasi nakuoa
Baby napenda hio denda
Na siwezi kulenga, ukinipa nafasi nakuoa
Zikishuka tupandishe na barley
Leo niko maganji lazima tutaparty
Hatuendi bukla leo tuko kwa party
Ka unadai form ushuke na key ya gari
Usikam na mama ju bana tuko waba
Usikam na jaba ushukishe za waba
Kuja tu na flash na ile nyongi ya jana
Oya oya ju mi nina pesa
Na nishakupenda ukinipa mapaja napona
Baby ju mi nina pesa
Na nishakupenda ukinipa mapaja napona
Cheki baby napenda hio denda
Na siwezi kulenga, ukinipa nafasi nakuoa
Baby napenda hio denda
Na siwezi kulenga, ukinipa nafasi nakuoa
99% hamwezi ride blacky
Karate kunfu
Nashuku unapenda minji ju head umeshuka pies
------
------
Oya oya ju mi nina pesa
Na nishakupenda ukinipa mapaja napona
Baby ju mi nina pesa
Na nishakupenda ukinipa mapaja napona
Cheki baby napenda hio denda
Na siwezi kulenga, ukinipa nafasi nakuoa
Baby napenda hio denda
Na siwezi kulenga, ukinipa nafasi nakuoa
Watch Video
About Mimi
More ETHIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl