Gari Weka Kando Lyrics
Gari Weka Kando Lyrics by NEBULAZZ
Afisa afisa(Hii gari weka kando)
Gari yangu haina shida(Gari weka kando)
Kuna kachai aii (Wacha hiyo maneno yako)
Kijana weka gari kando
Afisa afisa(Hii gari weka kando)
Gari yangu haina shida(Gari weka kando)
Kuna kachai aii (Wacha hiyo maneno yako)
Kijana weka gari kando
Niko round zangu na gari yangu
Na dem wangu na tunaenda kwangu
Karao amenona ka nguruwe
Na gari yangu wanataka waikague
Eeeh lazima nikague
Umetoka wapi? Unaenda wapi?
Gari ni ya nani? Sura kama nyani
Na huyu ni nani? Anaitwa Kanini
Mmetoka wapi? Tumetoka Cani
Kufanya nini? Kukula majani
Aiyayaya utalala ndani
Mkubwa mkubwa, afisa afisa
Mkubwa ni wewe, tokeni nnje tokeni
Aii na huyu Kanini amebeba
Si hii ni excess
Kijana unabeba excess
Afisa afisa(Hii gari weka kando)
Gari yangu haina shida(Gari weka kando)
Kuna kachai aii (Wacha hiyo maneno yako)
Kijana weka gari kando
Afisa afisa(Hii gari weka kando)
Gari yangu haina shida(Gari weka kando)
Kuna kachai aii (Wacha hiyo maneno yako)
Kijana weka gari kando
Afisa usinikazie, tuelewane nikupeleke na rieng'
Rieng ni gari ya kwenda wapi?
Makosa yako unaniita mkubwa
Unanijua? Unajua cheo yangu? Niko na kilo ngapi
Wewe wacha hiyo maneno bwana
Kwani mi ni rika yako, kwenda huko
Afisa do you know me?
Do you know who I am? Don't bwogo me
Of course I don't know you, nafaa kukujua?
Kwanza enda leta hiyo license
Na wewe msichana, unaitwa nani?
Unatoka wapi? Si twende kwangu
Nipatie namba yako kwanza
Wewe ni exhibit
Afisa afisa(Hii gari weka kando)
Gari yangu haina shida(Gari weka kando)
Kuna kachai aii (Wacha hiyo maneno yako)
Kijana weka gari kando
Afisa afisa(Hii gari weka kando)
Gari yangu haina shida(Gari weka kando)
Kuna kachai aii (Wacha hiyo maneno yako)
Kijana weka gari kando
Hii gari weka kando
Kijana weka gari kando
Hii gari weka kando
Wewe ni exhibit
Watch Video
About Gari Weka Kando
More NEBULAZZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl