Niko Salama Lyrics

DAR MJOMBA Kenya | Gospel,

Niko Salama Lyrics


Nimeanza safari
Safari ya mbali
Naomba Mungu unineemeshe

Mbele kuna milima
Mbele kuna mitego
Eeeh Mungu niondolee

Adui aniwinda, atakaniangamiza
Nifiche Baba kwa mbawa zako
Marafiki wakiniacha, familia initenge
Nakutegemea peke yako

Nipo salama, rohoni
Nipo salama, moyoni mwangu ooh
Nipo salama, rohoni
Nipo salama, moyoni mwangu ooh

Na niende wapi mimi
Nijifiche uso wako
Maana gizani unanimulikia

Niende wapi mimi
Nijifiche uso wako
Maana gizani unanimulikia

Na sina wasi wasi
Moyoni nina mawazo
Nakutegemea peke yako

Na sina wasi wasi
Moyoni nina mawazo
Maana kwako niko sawa

Nipo salama, rohoni
Nipo salama, moyoni mwangu ooh
Nipo salama, rohoni
Nipo salama, moyoni mwangu ooh

Nipo salama, rohoni
Nipo salama, moyoni mwangu ooh
Nipo salama, rohoni
Nipo salama, moyoni mwangu ooh

Leave a Comment