Happy Birthday Lyrics

LETEIPA THE KING Kenya | Pop,

Happy Birthday Lyrics


[VERSE 1]
Imagine tayari nilikuwa nishasahau,
Kwamba Leo ni siku ya kusherehekea,
Nivenye nimewa busy nikuhustle dooh…
Na picha yako sitaiweka kwa mitandao
Na u sidhani kwamba sikuwa na care
Nivenye safcom nina deni ya soo
 
[CHORUS]
Ningelikuwa na Pesa ningekubuyia Zawadi,
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza ukaone umaridadii,
Wa dunia
Imagine nimeshindwa kuafford hata kakadi,
kakukuwishia
Happy birthday jibambeee

Happy birthdaaaaaay ieieeeeeeh uwooooh uwoooh
 
[VERSE 2]
Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja
Ndo ujionee wajukuu Wako pamoja na vitukuu
Uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier
Nakutoana machozi kama tumela vitunguu
 
[CHORUS]
Ningelikuwa na Pesa ningekubuyia Zawadi
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza ukaone umaridadii,
Wa dunia
Imagine nimeshindwa kuafford hata kakadi,
kakukuwishia,,
Happy birthday jibambeee
 
Happy birthdaaaaaay ieieeeeeeh uwooooh uwoooh
Happy birthdaaaaaay ieieeeeeeh uwooooh uwoooh

 

LETEIPA THE KING (7 lyrics)

Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya.

Leave a Comment