Rada Gani Lyrics
Rada Gani Lyrics by MAD FAMERE
Who dat, baller baller baller
Shedical thing yaye
B records, Mad Famere
Dj Teekay, on the decks
Dem haga zimeiva jicho nyanya
Nimesweat niko high na kijaba
Kilo sita zimesteady cheki rada
Dem haga zimeiva jicho nyanya
Nimesweat niko high na kijaba
Kilo sita zimesteady cheki rada
Cheki rada, cheki rah
Ni lines nimeshika mistari natapika
Sugua sugua ebu shika hiyo spika
Hakuna maparo ni marika
Vile nimeshika me si Dj Arika
Si kitu form dem akivuta shisha
Amen joh imebaki kuchachisha
Shika kiti, chora saba, toa form(aah aah)
Haga zimeiva ziko red hot(aah aah)
Wamekuja na mini, wengine mabikini
Mafisi tuko rada kwani form iko nini
Ah, kwani form iko nini?
(Ah, kwani form iko)
Me ndio player wa FC Porto
Naleta beef kama Khali na Octo
Nampa(aaah), inakuwa moto
Hii ni mali safi hatuchezi na watoto
Dem haga zimeiva jicho nyanya
Nimesweat niko high na kijaba
Kilo sita zimesteady cheki rada
Dem haga zimeiva jicho nyanya
Nimesweat niko high na kijaba
Kilo sita zimesteady cheki rada
Rada gan eey
Rada gan?
Rada gan dem ameiva bratha
Cheki looks ameivana kaa pamba
She is so fine, mimi namfuata
Mtoto Hadija walai amefura nyuma
Mfollow Insta, IG
Naamini one day she be my queen
Hata kama blue ticks nimedishi
I believe one day she be my queen
Toa form nikuchape za Imenti
Kesha all night hakuna kubleki
Panua guu cheki D ikisteady
Nazicheki look look, they never messy
Kwenye room, new position
Chora saba, nakugusa una(aaah...)
Siku sita hii chuma ina kutu
Ruka kwenye bed, nakusunda hii kikuku
Dem haga zimeiva jicho nyanya
Nimesweat niko high na kijaba
Kilo sita zimesteady cheki rada
Dem haga zimeiva jicho nyanya
Nimesweat niko high na kijaba
Kilo sita zimesteady cheki rada
Shika kiti, chora saba, toa form
Toa form nikuchape za Imenti
Watch Video
About Rada Gani
More MAD FAMERE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl