MADEE Shenzi Type cover image

Shenzi Type Lyrics

Shenzi Type Lyrics by MADEE


Kama we mropokaji, type ya mfa maji
Si mfikishaji, mademu hawakuhitaji
Kama we mzamiaji bia hununuagi
Sasa leo umekanyaga show utaambulia maji

Twende juu twende chini, shikibee
Iwe huku au kule, mukidee
Leta bata leta kuku, tushibee
Tuna madeni, poa tulipee
 
Mi raisi wao
Raisi wao, raisi wao, raisi wao
Kiboko yao
Kiboko yao, kiboko yao, kiboko yao

Wazamiaji, shenzi type
Wakina dada wadangaji, shenzi type
Waropokaji, shenzi type
Wakina kaka wapigaji, shenzi type

Wazamiaji, shenzi type
Wakina dada wadangaji, shenzi type
Waropokaji, shenzi type
Wakina kaka wapigaji, shenzi type

Oya wasanii mimi naitwa Madee
Nasikia nyie wengine sio vioo vya jamii
Oya wasanii mimi naitwa Madee
Nasikia nyie wengine sio vioo vya jamii

Mnagombana aha, mnachukiana aha
Kuna wengine mpaka mnarogana ahaaa
Kina baba aha, kina mama 
Wote kundi moja jana mlichambana

Na nyinyi kwanini watangazaji wambeya
Ngoma sio kali alafu mnateteaa
Na maneno mengi kelele za kidedea
Kwa hali hii ndio maana wanapotea

Wanaochukua hela, shenzi type
Muziki sio usela, shenzi type
Nitawaletea na mwela, shenzi type
Mwishowe nitakwenda jela, shenzi type

Wanaochukua hela, shenzi type
Muziki sio usela, shenzi type
Nitawaletea na mwela, shenzi type
Mwishowe nitakwenda jela, shenzi type

Mahubiri yao wanaturazimisha
Usipotoa zaka eti unaitaka vita
Wakati wao wanajidhalilisha
Mpaka kanisani wanavunja amri ya sita
 
Tumeuona mkono wako bwana
Inapigwa mpaka bar
Tumeuona mkono wako bwana

Biashara kubwa ni dini, shenzi type
Na wafanyaji ni nyinyi, shenzi type
Mnadhulumu masikini, shenzi type
Kwa Mungu mtasema nini? shenzi type

Biashara kubwa ni dini, shenzi type
Na wafanyaji ni nyinyi, shenzi type
Mnadhulumu masikini, shenzi type
Kwa Mungu mtasema nini? shenzi type

Watch Video

About Shenzi Type

Album : Shenzi Type (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Manzese Music
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 03 , 2020

More MADEE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl