Unaniliza Lyrics
Unaniliza Lyrics by LOUI
S2kizzy Baby
Moyo kitabu, nilikufunulia hukuweza Soma
Ukanipa tabu, kuchonga barabara yenye konakona
Kila kukicha vita aaeh, Mbili kuwa Tisa aaeh
Makareti Kara nawe, Nyimbo ukaipiga mawe
(Haaa aah Haaah) Eti n'mechunda
Aah Sina Ladha tena
(Haaa aah Haaah) Zile Baby baby huzitaki Tena
(Haaa aah Haaah) Eti n'mechunda
Aah Sina Ladha tena Aah-a-a-aah
(Haaa aah Haaah) Nimepigwa ganzi,Mwili unatetema
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
Aaa-ah nyota aah,Hooh nyota aah (Imefifia)
Nyota Aaa-ah,Sina nyota Aa-ah (Imefifia)
Aah-ah Nyoooooota
Aah-ah Nyota,Sina nyota Ah-ah
Kama ni, thamani nilikupa aah
Ukang'oa mizizi,ukatupa aah
Kama-nitupa kani-kayeyuka aah
Vile kichwani,Ulinikaa
(Haaa aah Haaah) Eti n'mechunda
Aah Sina Ladha tena
(Haaa aah Haaah) Zile Baby baby huzitaki Tena
(Haaa aah Haaah) Eti n'mechunda
Aah Sina Ladha tena Aah-a-a-aah
(Haaa aah Haaah)
Nimepigwa ganzi, mwili unatetema
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
(Oooh ooh,Ooh ooh) Unaniliza
Watch Video
About Unaniliza
More LOUI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl