LODY MUSIC Naenjoy cover image

Naenjoy Lyrics

Naenjoy Lyrics by LODY MUSIC


Kwanza pole, kwa mkong’oto
Umepata mpenzi mpenzi mbondia
Mwenzako uku na pewa mboka nane
Na nenepa ndio navyo kwambia
Penzi limesha pamba moto
Ni magoli tu, nanjishindia
Mi na yeye ni mpaka tuzikane
Kwa mengine nyuma ya pazia
Wewe sindio uliharibu
Mapenzi ukanikosea kwa sana
Unarudi hasubuhi
Mkononi na chupa za savanna ooh mapenzi
Yalinitesa mwenzenu bado nikang’ang’ana
Sasa hivi nakula shelfu
 Mi na yeye hatuwezi kugombana
Tuna penseza ukitwona, ameniteka mazima
Wanaumia wakitwona, na sura za kimaa
Si penzi letu limeshona, nimesha zama mazima
Alivyo safi kila kona, sipati magonjwa ya zinaa

Penzi limesha noga, naenjoy
Wakati huku napewa, naenjoy
Mama wewe wewe, naenjoy
Aah aah aah, naenjoy
Oh masauta sauta, naenjoy
Anapewa mwenzenu, naenjoy
Naenjoy mapenzi, naenjoy
Anazuka ma, naenjoy

Asubuhi nalishwa sambusa silishwi nafaata
Anamambo yakususa susa napewa nikitaka
Ndani ya moyo ashapagusa akavuka mipaka
Wenye wivu tushawapanguza tuzibe viraka
Hadi mwenzako napewa vilaini laini
Tatu kasha nisaini saini
Mtoto nyama maini maini
Ase shoko do do do
Wale mashaini shaini
Wala tusha wabaini baini
Tusha wapiga faini faini
Ase shoko do do do
Tunapenseza ukitwona, ameniteka mazima
Wanaumia wakitwona na sura zao za kimaa
Si penzi letu limeshona, nimesha zama mazimaa
Alivyo msafi kila kona, sipati magonjwa ya zinaa

Penzi limesha noga, naenjoy
Wakati huku napewa, naenjoy
Oh my babe babe, naenjoy
Aah aah aah, naenjoy
Oh masauta sauta, naenjoy
Anapewa mwenzenu, naenjoy
Naenjoy mapenzi, naenjoy
Anazuka ma, naenjoy

Watch Video

About Naenjoy

Album : Naenjoy (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Nov 15 , 2021

More LODY MUSIC Lyrics

LODY MUSIC
LODY MUSIC
LODY MUSIC
LODY MUSIC

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl