Moyo Vs Ubongo Lyrics
Moyo Vs Ubongo Lyrics by APPY
Moyo uliponza mboni
Ndio maana moyo unavidonda
Najivika tabasamu usoni
Mwili wabaki mifupa nimekonda
Moyo umeumiza walionipenda
Ubongo wafikiria nisikopendwa
Oh oh
Mapenzi moyoni
Nistress kichwani
Natendwa sana mi
Mapenzi moyoni
Nistress kichwani
Moyo haukomi
Ewe ubongo we
Wauponza moyo
Ewe moyo we
Wautesa ubongo
Akili we yazitesa hisia
Ewe moyo we
Ewe ubongo we
Moyo koma
Koma koma koma koma
Ubongo koma
Koma koma koma koma
Moyo woh uh
Koma koma koma koma
Ubongo koma koma koma
Koma koma koma koma
Napitia mengi napitia
Kwa kuamini kwa moyo
Ah ah ah
Najutia najutia
Kwa kuamini ubongo
Ah ah ah
Niende wapi
Moyo Ubongo unanchanganya
Namipaka
Napita mpaka njia za panya
Natapatapa
Kama mbuzi wa kafara
Ubongo we moyo we
Mapenzi moyoni
Nistress kichwani
Natendwa sana mi
Mapenzi moyoni
Nistress kichwani
Moyo haukomi
Ewe ubongo we
Wauponza moyo
Ewe moyo we
Wautesa ubongo
Akili we yazitesa hisia
Ewe moyo we
Ewe ubongo we
Moyo koma
Koma koma koma koma
Ubongo koma
Koma koma koma koma
Moyo woh uh
Koma koma koma koma
Ubongo koma koma koma
Koma koma koma koma
Watch Video
About Moyo Vs Ubongo
More APPY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl