Amenipenda Bure Lyrics
Amenipenda Bure Lyrics by KIM NEE
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Nimekubali Mungu ni pendo apenda watu
Nimekubali Mungu ni pendo ananipenda
Nimekubali Mungu ni pendo apenda watu
Nimekubali Mungu ni pendo ananipenda
Aah ananipenda mie, aah ananipenda bure
Aah ananipenda mie, aah ananipenda bure
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Alikubali kuacha enzi yake binguni
Akaja duniani kunitafuta uko dhambi
Alikubali kuzaliwa huko zizini
Atuokoe mimi na wewe masikini
Alikubali kuvuliwa nguo hadharani
Kabeba aibu yetu sisi jamani
Ooh amenipenda bure, ooh amenipenda bure
Taji ya miba aligongelewa huko kichwani
Abebe mawazo na maumivu tuliyo nayo
Mkuki wa ubavu aliruhusu kuchomwa jamani
Abebe homa zote na matatizo ya matumbo
Ooh amenipenda bure, aah eeh amekupenda bure
Ooh amenipenda bure, aah eeh amekupenda bure
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Tena si mimi niliyemchagua ila ni yeye
Kati ya waliopendwa duniani na mimi nimo
Upendo wake haufanani na wa wanadamu
Walipojua sijasoma wamewafuata wasomi wao
Tena upendo wake haulingani na wa wanadamu
Walipojua sina pesa wameoana na wenye magari
Upendo wake haufanani na wa wanadamu
Waliposikia mgonjwa wakakimbia wakaenda zao
Lakini Yesu kanichukua aniponye
Lakini Yesu kaniita anibariki oh
Lakini Yesu kanichukua anibadilishe
Ananipenda na madhaifu kama nilivyo yo yo yo
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Ah amenipenda bure, aah amenipenda mie
Watch Video
About Amenipenda Bure
More KIM NEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl