Mwambie Lyrics by HARMONIZE

Heshima kumnyenyekea
Nilivyomnyenyekea
Akaniona si chochote kwake

Mazima akanipotezea
Akanipotezea
Alipomaliza shida zake

Ila bado siamini
Kweli ndo yule
Alokuwa akisema
Halali asiponiona

Na kujilisha ya nini
Yote ni bure
Nikamuita chanda chema
Alinidanganya

Zile meseji za kunichombeza
Zinaniuma roho
Mara akinidekeza Elaji njoo

Ungesema nilipoteleza 
Nikamwomba po
Si vyema amenitelekeza
Eti kisa doh

Heshima kumnyenyekea
Nilivyomnyenyekea
Akaniona si chochote kwake

Mazima akanipotezea
Akanipotezea
Alipomaliza shida zake

Ila bado siamini
Kweli ndo yule
Alokuwa akisema
Halali asiponiona

Na kujilisha ya nini
Yote ni bure
Nikamuita chanda chema
Alinidanganya

Zile meseji za kunichombeza
Zinaniuma roho
Mara akinidekeza Elaji njoo

Ungesema nilipoteleza 
Nikamwomba po
Si vyema amenitelekeza
Eti kisa doh

Music Video
About this Song
Album : Mwambie ,
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Apr 29 , 2020
More Lyrics By HARMONIZE
Comments ( 0 )
No Comment yet