
Jesus Walks Lyrics
Jesus Walks Lyrics by ZAIID
[Chorus]
Jesus walk
Jesus walk
With me, with me, with me
[Verse 1]
Nilipotoka mimi hawatoki mafala mazii ro
Mkwanza mwenye unit mwenye flow kama d rob
Hizi styles p mwenye mawenge zaidi ya d block
Sauti ya gharama nalalama mithili ya d knob
Machizi wananpima wanavunja mizani
Na Sina masihara ndo navunja utaani
I'm so hardcore na nauza dukani
Marapa wanondisi nawatunza buchani
Natembea kama maji ju ya maji oh Jesus
Tobo nnalopita naliona wanaziba
Old flow kama jela ya Madiba
Wowowo ikahit wanondis hawana figa
Who dat? who dat? Kendrick ama jcole?
Ama Mimi kwa bidhaa nyingi mithili ya k koo
Lay low, shori kama Jlo,mi J joo
Ni KO, nakuvunja mbavu kama Jmond
[Chorus]
Jesus walk
Jesus walk
With me, with me, with me
[Verse 2]
Bila kolabo ya mtu maarufu nshakuwa harufu
Nanukisha flow tupu kasuku wanajishuku
Marufuku, kunipa kolabo kibwege bwege
Vipi wewe, unalegea ka degedege?
Ukikaza unashindwa kumzidi hata Shishi Bebe
Ni kimbembe,Unalegeza kufata soko
Minakaza minanuna na litanifwata soko
Mimi ni mselaaa,siwezi kwenda jela
Nasaka kihalali na siwezi hata kumbwela
Natoka tamaduni tukichana wanafuata
Hawa ndo mafadha kwa watoto wa mashaka
Kichwa kinadata nikiwapa wanadata
Bado mi ni trapper na mziki unazama chaka
Mwenge nastand ka daladala
Mishe bila idadi Mara bunda Mara ngara
Naswitch kama nura na harakati kama kala
Bila pamba minangoa manzi yako na nna ndala
Watch Video
About Jesus Walks
More ZAIID Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl