Tuserebuke Lyrics
Tuserebuke Lyrics by ZAIID
[Chorus]
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Mala mala kamlaaai
Ninapotaka mimi ni hapo tu
Ninapotaka mimi ni hapo tu
Mala mala kamlaai
[Verse 1]
Habari zako minimezipaata toka mbali(Eey)
Leo ndo goma liko uwanjani toka mwali(Eey)
Mate nilikumezea kinoma tooka chali
Katoto jasiri na kana uwezo wa kutoa nyoka ndani
Ey tuserebuke, na tugandane kama kupe
Panda kwa juu,kwa taratibu niache nishukee
Nipe nikupe,na wala tusijivungee
Goma linavopigika ndo linavonooga mpaka kukuchee
Viuno vya chini kwa chini
Wengine wanini wanini
Katoto makini makini
Nachimba madini madini
Chekechaachekechaa
Mwili unaupekechaa pekecha
Natwanga unapepeta pepetaa
Na wanga wateseka teseka
[Chorus]
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Mala mala kamlaaai
Ninapotaka mimi ni hapo tu
Ninapotaka mimi ni hapo tu
Mala mala kamlaai
[Verse 2]
Kata kama kachumbari, sauti kama ya Zumari
Piga mayowe mpaka wapandwe mapresha na visukari
Hata kama kwenu mbali, nimekuja na motokari
Achana na mabodaboda wanaokungoja utapata ajali
Ah leta manjonjo
Napenda ukipinda mugongo
Kwako nimelemaa ndio mana
Nasimama na hili gongo
Napenda vile unapenda
Nakwenda vile unakwenda
Nachenga vile unachenga
Na ukizubaa nafunga nalenga
Wasiyojua kucheizza wanatupigga chabo sisi
Simba nimekamatiyya kaswala nyi bado fisi
Hamuambuliki kitu ka pusha vile kwapolisi
Na kakizidi nogewa nabadili mitindo 'Hapo vipi?'
[Verse 3]
Ninapotaka mimi(Ni hapo tuu)
Kiuno zungusha hata Mara sabini(Na macho juu)
Wapambe waleta nini(Ni mapovuu)
Mana goma liko uwanjani wao(Ni wachovuu)
Kamwali cheketula(Cheketu)
Kamwali cheketula (Cheketu)
Aah kamwali cheketulaa
Cheketu! Cheketu! Cheketu!
kamwali cheketula Cheketu!
Kamwali cheketula Cheketu!
Aah kamwali cheketulaa
Cheketu! Cheketu! Cheketu!
[Chorus]
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Tuserebuke ayee ayee
Mala mala kamlaaai
Ninapotaka mimi ni hapo tu
Ninapotaka mimi ni hapo tu
Mala mala kamlaai
Watch Video
About Tuserebuke
More ZAIID Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl