Yule Yule Lyrics
Yule Yule Lyrics by JESSICA HONORE
Yule, yule
(Still Alive)
Tawala wawatawala
Mungu wa miungu hakuna kama wewe
Ulie wa kwanza ulie wa mwisho
Ni yeye yule, wadumu milele
Ukiitwa waitika, ukiombwa unajibu
Na ukijibu wa jibu kwa moto
Ni Mungu wa jana, Ni Mungu wa leo
Na hata kesho haubadiliki
Unabaki kuwa Mungu mwenye utukufu
Mamlaka, na nguvu mi na wewe
Ni yule yule
Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
Ni yule yule
Mkombozi wa Maisha yangu yule yule
Ni yule yule
Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
Ni yule yule
Yesu ni yule yule , yule yule eeeh
Ni Yule yule
Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
Ni yule yule
Yesu ni yule yule eeeeh
Mmmh ni ajabu
Jinsi ulivyo utajiri wako
Ajabu hekima na maarifa yako
Ajabu hukumu zako hazichunguziki
Na njia zako sio za Dunia hii
Ooh Dunia vyote ni vyako, Baba
Fedha dhahabu ni zako , Baba
Unatoa kama vile upendavyo
Hauna upendeleo, Daddy
Wa mbio wala hongo, Daddy
Wakutumanio umekuwa ngao
Unabaki kuwa Mungu mwenye utukufu
Mamlaka, na nguvu mi na wewe
Ni yule yule
Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
Ni yule yule
Mkombozi wa Maisha yangu yule yule
Ni yule yule
Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
Ni yule yule
Yesu ni yule yule , yule yule eeeh
Ni Yule yule
Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
Ni yule yule
Yesu ni yule yule eeeeh
Uliyashinda mauti, mmmh
Uliyashinda kaburi, aha
Ni yule yule eeeh, ni yule yule eeeh
Ni yule yule
Yule yule eh
Ni yule yule eeeh
Yesu ni yule yule eeeh
Unabaki kuwa Mungu, Unabaki kuwa Mungu
Unabaki Kuwa Mungu Yesu ni yule yule
Unabaki kuwa Mungu, unabaki kuwa Mungu
Unabaki Kuwa Mungu, Yesu ni yule yule
Ni yule yule, Yesu ni yule yule
Yesu ni yule yule , ni yule yule
Mkombozi wa maisha yangu ni yule yule
Ni yule yule, Yesu ni yule yule
Yesu ni yule yule yule yule
Ni yule yule waniwazia mema ni yule yule
Ni yule yule, Yesu ni yule, yule
Yesu ni yule yule ni yule yule
Eeh Baba, eeh Baba
Ni yule yule
Ni yule yule
Ni yule yule
Watch Video
About Yule Yule
More lyrics from Mwamba album
More JESSICA HONORE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl