Naogopa Lyrics
Naogopa Lyrics by RAYVANNY
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Wapi mkandarasi wa moyo
Wa ukuta wa mapenzi unadondoka
Kinacho ponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)naogopa(naogopa) naogopa(naogopa)
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa(naogopa)naogopa(naogopa)naogopa(naogopa)
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu ukapiga danadana
nimeyaona bayana
ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
alivyonidanganya
moyo wangu ukapiga danadana
Kwani nini za mapendo
Ili yakaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni
Ila akaniona mshenzi
Unaweza sema pesa ndiyo breki
Ila mapenzi hayasomeki
Umemteka kwa mali na cheki
Kumbe vyombo anakula muuza magazeti
Unayemwita bebi
Anaweza bebwa kama beki
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unayemwita bebi
Anaweza akabebwa kama beki
Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unajisifu umempata
Kumbe alo wacha anamfata
Anachotaka anakipata
Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa)naogopa(naogopa) naogopa(naogopa)
Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
Naogopa(naogopa)naogopa(naogopa)naogopa(naogopa)
Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Watch Video
About Naogopa
More RAYVANNY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl