Kidani Lyrics
Kidani Lyrics by BEKA IBROZAMA
Maneno sumu mpenzi we usiyasikie
Yakaharibu mapenzi yee, ya kwangu mie
Ukanihukumu kishenzi, mapenzi nichukie
Moyo ukaupa na ganzi, nikasimulie
Uhuru na unyenyekevu uloonyesha
Penzi limebaki picha
Nikikumbuka kidonda natonesha
Kichwa macho yafikicha
Usiulizwe uko wapi
Kutwa kucha una mazonge
Kuvutana na mashati
Umeota na mapembe
Siku hizi hunitaki
Mi nafosi unipende
Kama penzi hisabati
Sina namba nikuhonge
Oooh kunipa penzi nigombanie
Kama kuku bandani
Oooh sa waniliza mie
We nawe wa kazi gani
Oooh sema nikupe nini
Ama nichonge kidani
Oooh tukaishi mwezini
Ili nipate amani
Kila nikichutama
Natamani maji ya kisima
Nikisimama
Natetemeka mwili mzima
Liko wapi penzi
Tulilopanda leo tuje kuvuna
Ya manati
Nuru ya penzi letu ushazima
Uhuru na unyenyekevu uloonyesha
Penzi limebaki picha
Nikikumbuka kidonda natonesha
Kichwa macho yafikicha
Usiulizwe uko wapi
Kutwa kucha una mazonge
Kuvutana na mashati
Umeota na mapembe
Siku hizi hunitaki
Mi nafosi unipende
Kama penzi hisabati
Sina namba nikuhonge
Oooh kunipa penzi nigombanie
Kama kuku bandani
Oooh sa waniliza mie
We nawe wa kazi gani
Oooh sema nikupe nini
Ama nichonge kidani
Oooh tukaishi mwezini
Ili nipate amani
Kunipa penzi nigombanie
Kama kuku bandani
Sa waniliza mie
We nawe wa kazi gani
Sema nikupe nini
Ama nichonge kidani
Tukaishi mwezini
Ili nipate amani
Watch Video
About Kidani
More BEKA IBROZAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl