Changanya Lyrics

BEKA IBROZAMA Tanzanie | Bongo Flava,

Changanya Lyrics


Keti nizunguke 
Kila kona ya dunia
Sitopata kama wewe

Ila mama alinambia
Dunia duara
Haina kona kona

Ukitaka nakiunywa(Sawa)
Na ukitaka kuoga(Sawa)
Na hata ukimwaga
Mimi ni maji yako

Mimi kwako ni njiwa
Ushanivunja mabawa
Hata ukinichinja
Nipe maamuzi yako

Nipe nipe, nipe nipe
Kwa raha na maumivu 
Nipe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya
Unanifanya nichanganyikiwe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya

Umeniweka moyoni
Sioni sionekani
Umenificha

Kwani pesa kitu gani
Walishasema zamani
Kila kukicha

Wenye chuki chuki zao
Wapambane na hali zao

Nipe nipe, nipe nipe
Kwa raha na maumivu 
Nipe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya
Unanifanya nichanganyikiwe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya

Leave a Comment