Kitonga Lyrics by G NAKO

Kama leo tuko club tunaparty
Yes, tukirudi ghetto ni kiporo cha ugali
Ahhh...ah ah ah, ahhh...ah ah ah
Ahhh...ah ah ah, ahhh...ah ah ah

Utachagua furaha moyoni
Au iPhone X ama chozi hauoni
Mmmh, na haya si matusi nguoni
Utakubali hii njia ama ukashike ugoni

Unatoa mtoto naye anatoa
Inakuwa mchezo wa kutoa (Itaboa)
Una dem kumbe naye ana dem
Anapewaga game (Kukutoa hapo)

Mama mi sipendi panda milima (Kito)
Mama mi napenda shuka milima (Kito)
Mama mi sipendi panda milima (Kito)
Mama mi napenda shuka milima (Kitonga)

Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga

Yeah huh, nunua simu sisi tutampigia
Pangisha nyumba baba tuje fikia
Inua mashuka wana tuje chafua
Panda mpunga baba si tutavuna

Haiba, tunataka kitu nzuri
Na kama pesa ziko upigwe kitunguri
Hauwezi kula peke yako kitu nzuri
Kitu nzuri, kitu nzuri

Ninaanza na kuhonga, naishia na kujinyonga
Wazee wa kitonga, mpango ni kugonga

Mama mi sipendi panda milima (Kito)
Mama mi napenda shuka milima (Kito)
Mama mi sipendi panda milima (Kito)
Mama mi napenda shuka milima (Kitonga)

Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga

Mi napenda msele msele (Msele)
Mi napenda mtere mteremko mmh
Bure bure sio mchele mchele (Mchele)
Mzee wa pasi ndefu mbele mbele huko

Na ukitaka masaji we mwenyewe sauna
Kimaujigo si unajua nauma (Nauma)
Kitonga dau huku kitaa inauma
Inauma, inauma

Ahhh...ah ah ah, ahhh...ah ah ah
Unaunga unga unaunda unda , watu wanavunjwa vunjwa
Unaunga unga unaunda unda , watu wanavunjwa vunjwa
Ahhh...ah ah ah, ahhh...ah ah ah

Mama mi sipendi panda milima (Kito)
Mama mi napenda shuka milima (Kito)
Mama mi sipendi panda milima (Kito)
Mama mi napenda shuka milima (Kitonga)

Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga
Ki-ki-ki-ki kitonga

 

Music Video
About this Song
Album : Kitonga (Single),
Release Year : 2019
Added By: Huntyr Kelx
Published: Aug 19 , 2019
More Lyrics By G NAKO
Comments ( 0 )
No Comment yet