Chekecha Lyrics
Chekecha Lyrics by LULU DIVA
Aah ongeza sauti ya fundi
Ya fundi
Ongeza sauti ya fundi
(Sexy Diva)
Mchuchu mchumba
Hajapenda sebule na chumba
Mtutu si uvumba
Nampenda na bure na dunda
Anafikisha meli na inashuka
Bandari ooh, bandari ooh
Hiki kinesi kimedunda dunda
Shangari ooh, shangari ooh
Nakufaga nusu kabuti
Bendera hufuata upepo
Nashukaga ka parachuti
Afande nikitoka depo
Anamwaga na kumimina, anachekecha
Ka mzizi shina, anapekecha
Mkate wa kumimina, anachekecha
Kama maji kwenye kisima, anachekecha
Yaani moja wima, anapekecha
Mzima mzima, anachekecha
Yaani kanipa uji
Na sio mchina
Anachekecha, anachekecha
Na mi namcheketua
Anachekecha(mama)
Kipa na matede
Anachekecha, anachekecha
Na mi namcheketua
Anachekecha(oooh)
Yaani kanipa uji
Na mapeni nishavuja wino
Siandiki tena na
Uchafu katupa kwa shimo
Na mate katema ma
Akipanda akidandia
Sijisomi
Akivuna napalilia
Mwandani
Anavyonidekeza toto
Namliwaza dodo
Anavyonipendeza koko
Aii weee
Anamwaga na kumimina, anachekecha
Ka mzizi shina, anapekecha
Mkate wa kumimina, anachekecha
Kama maji kwenye kisima, anachekecha
Yaani moja wima, anapekecha
Mzima mzima, anachekecha
Yaani kanipa uji
Na sio mchina
Anachekecha, anachekecha
Na mi namcheketua
Anachekecha(mama)
Kipa na matede
Anachekecha, anachekecha
Na mi namcheketua
Anachekecha(oooh)
Yaani kanipa uji
Na sio mchina
Anachekecha, anachekecha
Na mi namcheketua
Anachekecha(mama)
Watch Video
About Chekecha
More LULU DIVA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl