I miss You Mama Lyrics
I miss You Mama Lyrics by LULU DIVA
Daah
Nashukuru munga kwa yote
It’s me Diva Divana
Mwanaid
Mama angu
This is for you mama
I miss you
I miss you mama
Nikisema sina maumivu
Ntakua naongopa
Nanisinge kuwa mvumilivu
Pengine ningeshakufuata
Nikisema nikusahau
Inashindikana
Japo kidogo Napata angalau leo
Sio kama juzi na jana
Kuna mengi ulinambia
Wengi ukanihusia
Mengine najionea mama
Binadamuu, niishi nao vizuri
Ukanialbia upendo ndo nguzo
Nisionyeshe kiburi
Na nifahamu
Niishikwa tahadhari
Muda mwengine watu wangu wa karibu
Ndo watakua wa hatari (I miss you)
Nakukumbuka mama (I miss you)
Dua ninakuombea (I miss you)
Kazi ya maurana (I miss you)
Dua ninakuombea
Aah, daah
Pengo lako
Halizibiki kamwee
Ungekuepo angalau nikuone
Angalau nikuone
Vituko vyako
Nikikosa uniseme
Busara zako mama
Nitapata wapi kwengine
Natamani kingefanyika chochote
Nikuone walau kwa sekunde, aah
Haiwezekani, nina nashukuru kwa yote
Haipingiki mola
Ndo amepanga uendee
Binadamuu, niishi nao vizuri
Ukanialbia upendo ndo nguzo
Nisionyeshe kiburi
Na nifahamu
Niishikwa tahadhari
Muda mwengine watu wangu wa karibu
Ndo watakua wa hatari (I miss you)
Nakukumbuka mama (I miss you)
Dua ninakuombea (I miss you)
Kazi ya maurana (I miss you)
Dua ninakuombea
Aah, aah
Watch Video
About I miss You Mama
More LULU DIVA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl