Sawa Lyrics
Sawa Lyrics by LULU DIVA
Jinsi yako na makopa ukiwa mchezoni (Wanimaliza)
Kwenye raha huna pupa
Kidhi raha zangu tukiwa chumbani
Beiby boy nipe yote kwa mwingine sitamani
Kwao nafuata nini?
Kwako nakosa nini? (Ukimbie)
Umeshanipiga pini
Moyoni mpaka mwilini (Wasimulie)
Kwao nafuata nini?
Kwako nakosa nini? (Ukimbie)
Umeshanipiga pini
Moyoni mpaka mwilini (Wasimulie)
Nahisi si kupendwa kabla yako
Ila nachopenda ndo unacho
Yamepita mengi kwenye macho
Ila nachopenda ndo unacho
Ushaniwaza kashasema sawa
Sina dira nishapagawa
Umenikoleza penzi lako dawa
Nishakanyaga waya
Oooh beiby naenjoy vitu vyako
Ooh beiby chako changu, changu chako
Unanipa mambo matamu
Unaikata mishipa ya fahamu
Unanipa mambo matamu
Unaikata mishipa ya fahamu
Njoo nikupe nitaongeza dawa
[Khaligraph Jones]
First I gotta give it all to you
Coz of how you keep it 100
You persistent ukisema that you want it
Huh and am thinking it's cool
As long as ma and you keeping the truth
Vile hii lugha napanga ni ujue we msupa unabamba
Vile you taking me high itabidi nimeshuka na kamba
Ikifika ni swag huniita buda mapamba
And coz I drive you beiby crazy funga mikanda
OG!
Nahisi si kupendwa kabla yako
Ila nachopenda ndo unacho
Yamepita mengi kwenye macho
Ila nachopenda ndo unacho
Ushaniwaza kashasema sawa
Sina dira nishapagawa
Umenikoleza penzi lako dawa
Nishakanyaga waya
Oooh beiby naenjoy vitu vyako
Ooh beiby chako changu, changu chako
[Khaligraph Jones]
Mi ni bazenga what you want inaweza get down
Don't even mind them, attention they need to get non
Naona umechizishwa na huyu boy wa Western
The way I got the sause unaeza niita Peptang
Hey Lulu Diva nataka kukutuliza
But nina swali nataka kukuuliza
Uko sure you wanna roll with me?
Coz am way too getter, O to the G warrup
Nishakanyaga waya
Ooh beiby chako changu, changu chako
Oooh yeah
Watch Video
About Sawa
More LULU DIVA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl