King'aunga'au Lyrics
King'aunga'au Lyrics by LULU DIVA
Nilikupa jezi uwanjani unacheza wonder
Umenipa ndizi nitafune nimemeza ganda
Mapigo huenda mbio yaani shuka panda
Nakupa vyeo beiby we kamanda
Hufanani na wanuka jasho, wafuatisha usemacho
Wanipa kile ambacho mie napenda (Napenda)
Nimeridhika na ulichonacho, tukikosa sangara na sato
Twapika nguna kwa dagaa(Mirenda)
Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe
Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe
Aaah king'aunga'au, king'aunga'au
King'aunga'au, king'aunga'au
Aaah king'aunga'au, king'aunga'au
Kikia cha pweza king'aunga'au
Meli ishatia nanga twende Zanzibar
Panapo upepo wa bahari uko shwari mwanana
Next time twajichanga pipa Madiba
Mambo ng'ari ng'ari tena twazidi fanana
Nikupe uroda wote wote (Aah uroda wote wote)
Kisha tucheze lote lote (Lote lote)
Aaah lote lote (Lote lote)
Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe
Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe
Aaah king'aunga'au, king'aunga'au
King'aunga'au, king'aunga'au
Aaah king'aunga'au, king'aunga'au
Kikia cha pweza king'aunga'au
Watch Video
About King'aunga'au
More LULU DIVA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl