Marioo Lyrics
Marioo Lyrics by ASLAY
Baby nipe nkatumie
Nisipo deka kwako
Nikadeke wapi mie?
Nataka gari uninulie
Nataka pamba kali nipendeze
Na mimi wanisifie (Wanisifie)
Mi kitandani fundi
Nafanya unalia kama bundi
Uo wivu wako sipendi
Nipe pesa mi nikale tungi
Nakufundisha mapenzi
Japo una umri wa shangazi
Nakudatisha kichizi
Mpaka mume wako unamuona makuzi
Napatapata vitisho nikiwa kitaani
Mumeo anataka kuniua eti kisa nini?
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi
Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae
Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto)
Nipe pesa nikupe ukitakacho
Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto)
Nipepese nikupe ukitakacho
Oh iyee mama
Anataka pesa hana aliniomba
Toka jana anataka sare
Aende zake kwenye ngoma mmmmhhhhh
Basi mpe
Si umependa boga penda na ua lake
Akinuna
Atafanya zifugwe listi zote
Napatapata vitisho nikiwa kitaani
Mumeo anataka kuniua eti kisa nini?
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi
Ila akitaka ndondi aende ulingoni baadae
Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto)
Nipe pesa nikupe ukitakacho
Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto)
Nipepese nikupe ukitakacho
Ah mi ndo Mario, Marioo
Mi ndo Mario, tabibu mkubwa wa penzi lako
Mi ndo Mario, Marioo
Mi ndo Mario, tabibu mkubwa wa penzi lako
Watch Video
About Marioo
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl