TANZANIA Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) cover image

Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) Lyrics

Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) Lyrics by TANZANIA


[Stanza 1]
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

[Chorus]
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

[Stanza 2]
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

[Chorus]
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania

Watch Video

About Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili)

Album : Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) (Single)
Release Year : 0
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 03 , 2020

More TANZANIA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl