Nichum Lyrics

KAYUMBA Tanzanie | Bongo Flava, Bongo Flava

Nichum Lyrics


Basi nichum chum nikiss
Aeee, mmmmmh
(Maxmizer)

Mwenzio karoho kangu kapo juu juu juu
Usinifanye pressure ikapanda juu
Juu juu juu juu eeh, pressure ikapanda juu

Umenifanya kama zuzu 
Kwako sisemi
(Zuzu zuzu aah)

Mama kamoyo kangu kameumbwa na nyama
Mwenzio kamwili kangu katetema
Tetetete, wewe

Umenipendeza my dear(Aaah)
Nami nakupendeza wewe
Asije kitorondo akaingia(Aaah)
Utafanya hukumu nipewe

Umenipendeza my dear(Aaah)
Nami nakupendeza wewe
Asije kitorondo akaingia(Aaah)
Utafanya hukumu nipewe

Si nichum chum nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Aaah nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Chum chum nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Oooh nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)

Chum chum, chum beiby eeh

Ongeza ongeza kidogo
Kwa miuono ya paka chongo
Isikujaze uwongo
Wewe leo mpaka mtondo

Mungu kakuumba kwa udongo
Mi mlemavu wewe magongo
Wape wape visogo
Wenye vitabia vya manifongo

Iyee iyee iyee
Tunafanana, nah nah nah nah
Tunafanana, twabandana ka banana

Umenipendeza my dear(Aaah)
Nami nakupendeza wewe
Asije kitorondo akaingia(Aaah)
Utafanya hukumu nipewe

Umenipendeza my dear(Aaah)
Nami nakupendeza wewe
Asije kitorondo akaingia(Aaah)
Utafanya hukumu nipewe

Si nichum chum nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Aaah nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Chum chum nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Oooh nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)

Si nichum chum nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Aaah nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Chum chum nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)
Oooh nikiss(Mwaah mwaah mwaah, mwaah)

Chum chum

Leave a Comment