Jojina Lyrics
Jojina Lyrics by DJ CAVANNI
Oya oya oya, pye pye pye pye
Oya oya oya, ole lele
Oya oya oya, pye pye pye pye
Jojina Jojina nilikuambia Jojina
Ulidhani nguvu sina nitakunyoosha - nina
Ooh Jojina unaringa umepima?
Ukilewa ukizima nitakunyoosha - nina
Jojina Jojina nilikuambia Jojina
Ulidhani nguvu sina nitakunyoosha - nina
Ooh Jojina unaringa umepima?
Ukilewa ukizima nitakunyoosha - nina
(The Mix Killer)
Nina, nina
Jojina mi mwenzako nina ndevu kama nyoka
Ata ukilala utaniota
Alafu ndo kidume ushanichocha
Utachagua liwe gando mala ama mposa
Kumaanisha nini?
We nitakuua, nitakutoa roho
Mie nitakuua, mie nitakutoa damu
Nitakuua, nitakutoa roho
Mie nitakuua, we nitakuua
Jojina huu mguu wa mtoto utakutosha
Na mashambulizi ya Messi kwenyeb soccer
Sieleweki kwenye bed kwenye sofa
Yaani mpaka pale wazungu watapotoka
Kumaanisha nini?
Hee nitakuua
Usinijaribu mi nitakuua
Nitakukubiringisha nitakuua
Usinijaribu mi nitakuua, nitakuua
Mie nitakuua, mie nitakutoa damu
Nitakuua, nitakutoa roho
Mie nitakuua, we nitakuua
Oya oya oya, pye pye pye pye
Oya oya oya, ole lele
Oya oya oya, pye pye pye pye
Jojina Jojina nilikuambia Jojina
Ulidhani nguvu sina nitakunyoosha - nina
Ooh Jojina unaringa umepima?
Ukilewa ukizima nitakunyoosha - nina
Jojina Jojina nilikuambia Jojina
Ulidhani nguvu sina nitakunyoosha - nina
Ooh Jojina unaringa umepima?
Ukilewa ukizima nitakunyoosha - nina
Nina, nina
Nina, nina
Nina, nina..
Watch Video
About Jojina
More DJ CAVANNI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl