Unamwonaje Lyrics by PRODUCER BONGA

Kanazingua, kanazingua
Ooh nana kanazingua
Kanazingua, ooh nana 

She is so sexy, hanaga mawenge wenge 
Kama  mbio za kangaroo
Uwanga ni kepesi, vituko denge denge
Nitamhonga Bungalow

Ona amenishika shikika na
Hajaniita naitika jamaa
Kwake mi nafarijika sana
Oyaa oyaah ah

Waambie, huku mambo mbaya
Mwenyekiti kawa baba ubaya
Waambie kimenuka mambo fire
Zeze wako si wa kaya

Mnamwonaje? Eeh
Wanangu wa kinondoni (Poa tu)
Au mnasemaje? Eeh
Tumwanike kikaangoni

Mnamwonaje? Eeh
Wanangu wa kinondoni (Poa tu)
Au mnasemaje? Eeh
Tumwanike kikaangoni (Safi tu)

Nikpeleke msondo wee
Gome wee, goma wee
Karidhika na uhondo 
Wa nyama choma wee, choma wee

Utamu kwa mbalii
Ila akinigusa mi napata mcheta
Natoa asali 
Penzi mtelezo nishaachanga ndeta yeah

Oooh mamacita, akiiniita
You love me, love you too beiby

Waambie, huku mambo mbaya
Mwenyekiti kawa baba ubaya
Waambie kimenuka mambo fire
Zeze wako si wa kaya

Mnamwonaje? Eeh
Wanangu wa kinondoni (Poa tu)
Au mnasemaje? Eeh
Tumwanike kikaangoni

Mnamwonaje? Eeh
Wanangu wa kinondoni (Poa tu)
Au mnasemaje? Eeh
Tumwanike kikaangoni (Safi tu)

Kanazingua, kanazingua
Ooh nana kanazingua
Kanazingua, ooh nana

Oooh wahuni wangu mapanga
Wale wapenda kudanga
Mgonjwa katibu mganga
Segere limekuwa banda

Oooh wahuni wangu mapanga
Wale wapenda kudanga
Mgonjwa katibu mganga
Oooh oooh

Music Video
About this Song
Album : Nipokee/ Unamwonaje (EP),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Lykos Empire 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: May 05 , 2020
More Lyrics By PRODUCER BONGA
Comments ( 0 )
No Comment yet