Masozy Lyrics by CHEED

Masozy! Masaaa....Masozy.....

[CHEED]
Masozy oooh Masozy
Masozy eeh Masozy
Kwanza twende kwa boma eeh
Tupate baraka za wazee
Ndoa haraka ifungwe
Na tuwe baba na mama eeh
Tuwakomeshe wapambe
Wasopenda tusonge
Majipu ya makwapa nivimbe
Nijitanue kwa mbwembwe

Na samba ucheze na mimi
Subira nitakusubirii
We Masozy iii
Masozy ooooh....aaah
Sherehe itafana
Ndugu pamoja na wazee
Hiyo siku mi naisubiri...

Masozy..... Masa Masozy
Masooo.... Masozy
Masaaa....Masozy

[K2GA]
Masozy oooh Masozy
Masozy hmmm Masozy
Masozy oooh Masozy
Masozy hmmm Masozy

Ata mimi naomba
Nikupeleke kwa mama
Japo mama alikwenda
Ata mjomba ni mama
Mi na wako tupange
Tulete posa kwa wazeetu
Wana sala kwa mola tuombe
Tupate baraka zake

Sherehe itafana
Ndugu pamoja na wazee
Hiyo siku mi naisubiri
Subiri, subiri
Masozy.... Masa Masozy
Masooo.... Masozy
Masaaa.... Masozy

Haa... Mambo yapo hadharani... Masozy....
Hello...mambo yapo hadharani...Masozy....
Haaaa...mambo yapo hadharani... Masozy....

 

Music Video
About this Song
Album : Masozy (Single),
Release Year : 2018
Added By: Huntyr Kelx
Published: Dec 14 , 2018
More Lyrics By CHEED
Comments ( 0 )
No Comment yet