Final Lyrics
Final Lyrics by CHEED
Kimenoga hiko
Michezo hatari mpaka naomba po-le
Kitoga hiko, nakatafune kama mboga hiko
Nyuma kakaficha maboga huko
Nakafundisha kupiga yoga hiko
Katoto kamenirogako
Katoto kamenivuruga hiko
Lalalala...
Mwana mwali machachari
Kwenye kona anavyonipa naam
Sakafuni juu ya dari
Bwana raha tunapeana
Kanipa vyeo yeye ni jemedari
Kwa mapenzi ni hodari
Nilikatongoza na kama utani
Kakaja kunikubali
Yeye amenituliza ruhani
Wacha niwape habari
Sasa najilia raha za Pwani
Huku upepo wa bahari
Final, tutururu
Oh final, mwanga nuru
Final, ooh finale
Final mimi naye
Final, akija ghetto nikapakate
Final, napiga moto mpaka kadate
Final, leo finale
Final
Zuum zuuum, zuum zuum
Nakatulizia na ndum
Naugum na ugum
Nitakutulizia ugumu
Nipe mauno ngenga
Nikupakie ufuta la ngendo oh
Sa ipeleke kando
Mwana nandy sasambua jando oh
Kimenasa chambo (Chambo)
Kakubali nihamishe ng'ambo
Leo atayaona mambo
Ka kipigo cha baba wa kambo
Kanipa vyeo yeye ni jemedari
Kwa mapenzi ni hodari
Nilikatongoza na kama utani
Kakaja kunikubali
Yeye amenituliza ruhani
Wacha niwape habari
Sasa najilia raha za Pwani
Huku upepo wa bahari
Final, tutururu
Oh final, mwanga nuru
Final, ooh finale
Final mimi naye
Final, akija ghetto nikapakate
Final, napiga moto mpaka kadate
Final, leo finale
Final
Watch Video
About Final
More CHEED Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl