
Matamu Lyrics
...
Matamu Lyrics by CHEED
Yani penzi limeiva biu biu
Ndani linanimaliza kiu kiu
Tukowapi maana huku sio duniani ah
Hizi raha unazonipa
Hazipatikani duniani hii ah
Yukowapi kungwi alokufunda unyagoni ah
Zawadi yake ntampa ah
Penzi tamu sukari guru
Napata matamu moyo uko hurueehii
Tabasamu usoni unanuru
Wanipa vitamu napiga ndurueh
Lako penzi linanichanganya (changanya)
Kukuacha me siwezi
Ona unavyo nivuruga (weh hayah)
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Ha ah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Yabara na pwani pemba visiwani
Usimpimieh
Tuko mahabani nyinyi kitu gani
Ni yeye na mieehii
Jamani mapemzi ya kweli yaponyinyi
Napewa gizani mwangani
Raha mpaka utosini
Penzi tamu sukari guru
Napata matamu moyo uko hurueehii
Tabasamu usoni unanuru
Wanipa vitamu napiga ndurueeh
Lako penzi linanichanganya (changanya)
Kukuacha me siwezi
Ona unavyo nivuruga (weh hayah)
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Watch Video
About Matamu
More CHEED Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl