Nataka ku chat na Yesu Lyrics
Nataka ku chat na Yesu Lyrics by RIZIKI ALEMA
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Yoyoyo na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Yoyoyo na Yesu
Kuna siku moja nilikata tamaa, ah mimi yeah
Baada ya kupitia shida na matatizo mengi
Nikashindwa ni wapi nitapata msaada, mimi eeh
Nikaangukia kwenye mikono ya marafiki na mandugu
Walio karibu, nikaanza na wapo
Waliokuwa mbali nikaanza kuchat nao
Walio karibu, nikaanza na wapo
Waliokuwa mbali nikaanza kuchat nao
Nikaanza kuchat, chat chat, chat chat
Nikaanza kuchat, chat chat, chat chat
Mimi nikaanza kuchat, chat chat, chat chat
Nikaanza na wa ndugu zangu niliowakubali
Wakaniambia kuwa wamesota
Mmmh nikaenda kwa rafiki zangu niliowaaamini
Nao pia wakasema wamesota
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Yoyoyo na Yesu, ili nifanikiwe
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Yoyoyo na Yesu
Nilimweka moyoni mwangu mwanadamu
Nikakosea kumpa imani mwanadamu
Nilichat na yeye sana wakati wa raha
Nilisema na yeye sana wakati wa raha
Punde shida ilipobisha mwanadamu katoweka
Shida ilipobisha sikumwona tena
Nilibaki na Mungu kafanyika nguvu
Tabibu wa karibu Mungu wangu
Mwanadamu ana upungufu
Mungu ni mkamilifu
Yeye ni jibu letu msaada wa karibu
Kumbe wewe Mungu si kama mwanadamu
Nilipochat nawe nikainulia
Nilipochat nawe milango ikafunguka
Nilipochat nawe baraka zikafurika
Na hapo ndipo nikasema sitaki mwanadamu
Nataka nichat nawe Yesu wee
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Mimi ninataka kuchat, na Yesu
Yoyoyo na Yesu
Nimwambie shida zangu mimi
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Mahitaji yangu yote Yesu
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Matatizo yangu anajua
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Wakati wa shida wakati wa raha
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Nataka kuchat mie
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Nataka nataka nataka
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Nataka nataka nataka
Na Yesu, yoyoyo na Yesu
Nataka kuchat, chat chat chat na Yesu
Watch Video
About Nataka ku chat na Yesu
More RIZIKI ALEMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl