Mwana Wa Muntu Lyrics
Mwana Wa Muntu Lyrics by MATTAN
Mwana wa muntu Susu musamalo
Mwana wa muntu we waluleta
Mwana wa muntu
Cho, choo chochalyu mwana
Chochalyu mwana
Nane mkwasi nkuchilyanga
Mwana wa muntu Susu musamalo
Mwana wa muntu we waluleta
Mwana wa muntu
Cho, choo chochalyu mwana
Chochalyu mwana
Nane mkwasi nkuchilyanga
Watu wanamadharau
Uooh
Lakini wapo wanokuamini
Uooh
Ukijitusu watakusahau
Uooh
Simama ulipo simamia
Sometimes unyang'au
Uooh
Mtaani unasaidia
Uooh
Life is unpredictable
Buda jifunze shaurika
I trust what is best
I trust what is best
Na ubora wangu uko ndani yangu
Na ubora wangu uko ndani yangu
Chu chu chu chu chu chu
Chu chu
Chu chu chu chu chu chu
Chu chu
Maishaa aah mzingo wa ajabu
Don’t let it go
Sisi wengine tumekulia tabu
Maskani hakuna vyoo
So umsimdharau usiyemjua
Atakaye kuvusha haumjui
Wengine sura za kondoo
Kumbe ndani, chui
Unayemchukulia poa
Kesho anahukumu hatima yako
Hiii
Haaa
Mwana wa muntu Susu musamalo
Mwana wa muntu we waluleta
Mwana wa muntu
Cho, cho chochalyu mwana
Chochalyu mwana
Nane mkwasi nkuchilyanga
Mwana wa muntu Susu musamalo
Mwana wa muntu we waluleta
Mwana wa muntu
Cho, cho chochalyu mwana
Chochalyu mwana
Nane mkwasi nkuchilyanga
Mtunguru pona pona mtunguru
Inzara ambembu mtunguru
Yamfunyi linso mtunguru
Pona pona mtunguru
Mtunguru pona pona mtunguru
Inzara ambembu mtunguru,
Yamfunyi linso mtunguru
Pona pona mtunguru
Watch Video
About Mwana Wa Muntu
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl