Niache Lyrics
Niache Lyrics by MATTAN
Yalikwenda sa yanarudi yanarudi
Yanarudi kwa ubaya mbona yananitesa
Tuliachana mapenzi yakarudi
So mbona wadanga teena
Yanarudi kwa ubaya yananinyanyasaa
Maskini nimeweka imani moyoni
Ujue na pembeni siion
Unanifanya niogope mapenzi mapenzi Ni ushetani
Na ushakua we mambo mbaya niko nawaza ulivyo mbaya
Mwenzangu unawaza nitaya kuniacha bila haya
Na ushakua we mambo mbaya niko nawaza ulivyo mbaya
Mpka ukawaza nitaya uniachee yeeeeh
Niacheee mmmh mmmh nii nii niache
Niacheee mmmh mmmh nii nii niache
Niacheee
Ulipo niahaidi utanipendaaa
Moyo ukasemehe labda ulipitiwaa huendaaa
Sema ndio hvyo umeniona wa kunifedhehesha
Sikidhi vigezo unamaanishaa
Ndio maana thamani umenishushaa
Unajua nakupenda ndio maana
Unatenda umesahau hadi chanda pete yanguu
Au labda sanda unataka kunivisha pindi ukiniua Kwa presha wee
Maskini nimeweka imani moyoni ujue na pembeni siioni
Unanifanya niogope mapenzi mapenzi ni ushetani
Na ushakua we mambo mbaya
Niko nawaza ulivyo mbaya
Mwenzangu unawaza nitaya kuniacha bila haya
Na ushakua we mambo mbaya niko nawaza ulivyo mbaya
Mpka ukawaza nitaya uniachee yeeeeh
Niacheee ohoo niacheee ohoo iyeeyee
Niacheee iiiii niacheee, we niachee a nimechookaa
Niacheee
Watch Video
About Niache
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl