Oya Oya Lyrics
Oya Oya Lyrics by MATTAN
Mattan hands ina di deck ina di place
Fundi wa mapenzi Mpka ooh murder case
Wow! thats why we are blessed baby Face
She gimme good time happy no Stress
Na Unajua Moyo Ungonjwa wake Ni wewe
Nijapo pata matibabu maswali yote we ndio Jawabu
Worry Out! shake Up your Mama
Kwa Jinsi unavyonipa umeniwenga Mama
Usihofu vocha nina bando
You’r my main chick siwazi Mpango wa kando
I have my Baby design Utamu hauwezi kata Ma Unani Changanya
Naomba unipe kama Jana unipe Kama Jana
Mbona kama wanatesekaa tunavyopendana hawapendi
Ndio kwanza penzi tuna hinjika
Baby a babyy baby
Mbona kama wanatesekaa tunavyopendana hawapendi
Ndio kwanza penzi tuna hinjika
Yaani ni wewe unae nifaaa
Oya oya sijaona kama wewe mi ndo napendaga
Oya oya Tugombane Tutapatana kinagaubaga
Oya oya Yanii mii mi ndo napendaaga! Oya oya
We ndo unanichanganyaa
Je wakumbuka kukupenda chanzo yaani Nini?
Sikufata sura tabia nilikuaaminii
Toka kitambo uling’ara kama zile Niinii inhii
Ulivyojua nakupenda ukajisogeza
Chap ukajibu kama vile unajitangaza
Mpka tabia tukapatana kama vile Miujizaa yeah
Do le mi fa so la ti do ti la so fa mi lee
Jinsi tunavyo fanya chumbanii wawilii
Ananipaga body mpaka Morning
Akibiringa haina hayaa
Anavaa code tukiwa kwa Road
Yupo serious kama Land Lord
Mbona kama wanatesekaa tunavyopendana hawapendi
Ndio kwanza penzi tuna hinjika
Baby a babyy baby
Mbona kama wanatesekaa tunavyopendana hawapendi
Ndio kwanza penzi tuna hinjika
Yaani ni wewe unae nifaaa
Oya oya! sijaona kama wewe mi ndo napendaga
Oya oya! Tugombane Tutapatana kinagaubaga
Oya oya! Yanii mii mi ndo napendaaga Oya Oya!
We ndo unanichanganyaa
Watch Video
About Oya Oya
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl