Nikiondoka Lyrics
Nikiondoka Lyrics by DARASSA
Mwingine hata miujiza hashangai
Tumeumbwa tofauti that's the reason why
Mtu akivunja moyo huwezi kumdai
Na moyo unataka ubebe kama vile yai
Unanizingua unaniplease I don't mind
Nikaja kuona si we nishai
Hakuna nilichofanya kwako nikaweza
Hakuna nilichofaa kwako nikapendeza
Kuna wakati hisia zinakupoteza
Unakuwa mfungwa nje ya gereza
Love is blind I lost my mind
Mguu nje ndani you don't concern
Labda ningekuwa na moyo wa chuma
Wivu machungu yasingeuma
Kushindana na upepo unaovuma
Hata we usingeweza
Nikiondoka utanimiss nikiondoka
Nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
Nikiondoka utanimiss nikiondoka
Nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
Mapenzi yetu kwangu sio utani
Ukayafanya ngazi unipande kichwani
Marafiki wanasema sikujui ndani
They say hey think like a real man
Hii ni faida ya mapenzi kama haufurahii
Chumbani unawaza mtu hakufikirii
Unayempenda kukupenda sio guarantee
I should never go back for my mystery
Ni bora kujikaza kuvumilia
Kusema kunyamaza kucheka kulia
Mambo mengine deep sana I can't say
Record yetu staki hata kureplay
Labda ningekuwa na moyo wa chuma
Wivu machungu yasingeuma
Kushindana na upepo unaovuma
Hata we usingeweza
Nikiondoka utanimiss nikiondoka
Nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
Nikiondoka utanimiss nikiondoka
Nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
Watch Video
About Nikiondoka
More lyrics from Slave Becomes A King album
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl