Unitue Lyrics
Unitue Lyrics by MIMAH
Kunicharizia kila kona kila mtaa (Unitue)
Umebeti na mimi Mimah maajabu sina (Unitue)
Kufunua dera kucheza chura kawaida (Unitue)
Vipi unitangazie Mimah heshima sina
Mi singer eeh, najichubua
Pesa zangu mwenyewe matumizi kunipangia
Nisivae nijajitanua
Eti pesa kidogo ushaanza kutuvimbia
Ushoga kusengenyana sitaki
Kugombania mabwana sitaki
Mi kujifanya unanijua sana sitaki
Vitu kidogo kurogana sitaki
Nyota sina, hela sina
Na bwana ninaye ringia tumeachana
Nyota sina, hela sina
Na bwana ninaye ringia tumeachana
Kuniuliza mambo nisiyoyajua
Baba Levo nalo timi na nyanya bonge la pua
Nikikonda nina ngoma nikinenepa nanunua dozi
Mnaanza wenyewe mkimaliza mi siokoti
Sina wowowo, nina matege
Inanistiri wigi jogoo kama maiti ya bunge
Ninavaa kigodoro, mie mchoyo
Kwanza nina madeni nadaiwa mpaka kiroo
Ushoga kusengenyana sitaki
Kugombania mabwana sitaki
Mi kujifanya unanijua sana sitaki
Vitu kidogo kurogana sitaki
Nyota sina, hela sina
Na bwana ninaye ringia tumeachana
Nyota sina, hela sina
Na bwana ninaye ringia tumeachana
Watoto wa Mbaghala, kinondoni na Masaki
Kunipatapata nakataa mi sitaki
Watoto wa Ilara, Mbunguruni na Shamanzi
Kunipatapata nakataa mi sitaki
Watoto wa Mbaghala si mnaweza
Njoo katikati piga msamba funua dera
Watoto wa Buza si mnaweza
Njoo katikati piga msamba funua dera
Mashalove si unaweza
Njoo katikati piga msamba funua dera
Isma Sergent si unaweza
Njoo katikati piga msamba funua dera
We Wanjala si unaweza
Njoo katikati piga msamba funua dera
We my si unaweza
Njoo katikati piga msamba funua dera
Watch Video
About Unitue
More MIMAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl