RAPCHA Flight to Zenji cover image

Flight to Zenji Lyrics

...

Flight to Zenji Lyrics by RAPCHA


Badman don’t kiss ass

I’m after my business

I thank God for this grace

I’m So hard to replace

Very hard to detect

I’m Too hot like desert

Too cold like dessert

Man You don’t know me like that

Wanaomba location watukute where we at

But, Tuko mbele yao, wanaongea si tuna act

Fact

Kituo kifuatacho global, mi maongezi sitaki

Fuck! Kila nkiona tu camera i wanna spit like Pac

Mi siwekagi wazo nna start

Double hustle utaona Impact

Ka ukinikuta ndani ya stadium nanukisha utahisi ni fati (Ansu)

Roho safi chafu ni shati

Hunijui kiivyo, Infact

Chawa hapa hawezi survive namvunjia kidole cha kati

Ustake pima you can’t

Mbwiga, you don’t know me like that

Mi siroll na washkaji ambao mbele ya nyau ni rat

Njia nliopita ups and downs nmeona nyingi toka nna start

But, way i run the game unaeza sema road ni flat

Fact, just look at where we at

Mtanisifu sana kwa bars nyinyi mi nikiwa Hayati

Walificha ngazi tubaki chini tukabeba manati, ah

Circle ilivyo ni ka virgin vile ambavyo ni tight

Mi sipo hata complicated, you don’t know me like that

Taking flights, naenda Zenji

I don’t take advice

Don’t complain kuwa nimechange you don’t know me like that

I focus on my business

My business my life

Mwanzo wa wiki mpaka weekend

Ndani ya vichwa vyenu ndipo ambapo muda wote naspend

Bila senti na tarehe zinapinduka siwapi hata rent

Ka’ mkinitoa ndani ya vichwa vyenu vinabaki tu empty

Empty

Empty ka kibubu chako cha rent

Hela ya pochi unampa ya nini wakati kichwa chake ni empty

Wanataka kwenda kwa Jah ila hawatofika na hate

Sema hatuko close like that, maybe ningeshawapa tiketi

Wallah

Mi napenda vitu viwe perfect

Ila sitaki demu ambae anataka niwe perfect

Ananisoma kila day, anataka niwe gazeti?

Anataka niwe Puppet asiejua nini respect

Usinifundishe how to care, I’m just doing what i like

I Just do it i don’t care,mi naongeza pair za nike

Hunijui very well, wala sina look alike

I know how to treat a girl, you’re just not the one I like

Mi sipo hata complicated, you don’t know me like that

Taking flights, naenda Zenji

I don’t take advice

Don’t complain kuwa nimechange you don’t know me like that

I focus on my business

My business my life

Excellent work and again the beat is dope

Yogo Mi nna ushkaji na peni baada ya shule ikanipa hit (hit)

Mi nna ushkaji na peni you can tell by the way i spit (spit)

Mi nna ushkaji na peni and i take that shit too deep (deep)

Mi nna ushkaji na pen writting pays talk is cheap

Tulikua chini wakakimbia, sa si ndo ule muda wa kuongea fact

Ile wametoka dow ikaingia, sa si ndo ule muda wa kuwalia bati

Siku itaisha nikisinzia sa si ndo ule muda wa kuingia pati

Afu watoto wanajiachia, sa si ndo ule muda wa kuingia kati

Bring more 50, 50, 50, 50 bottles for my friends

More more pretty pretty pretty pretty ladies with their friends

Mi i don’t give a S-H-I naacha wambea wapate Tea

Only Jah judging me

There is something about me

I don’t give a S-H-I-T when I’m on T.H.C

8 billion people dunia hii please don’t play with me

Nimeishinda vita chuki come and celebrate with me

Don’t play with me

They didn’t believe in me

Vile navoshine i knock their heads like

Knock their heads like

Vile nnavyoshine nawakoa kwenye bed like uhh

Watch Video

About Flight to Zenji

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : May 01 , 2025

More RAPCHA Lyrics

RAPCHA
RAPCHA
RAPCHA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl