Proud of You Lyrics
Tanzanian artist Darassa teams up with Alikiba to release "Proud of You" of...
Proud of You Lyrics by DARASSA
Ye baba, classic music
Iyoo, Iyooo
Ulivyojitapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
Am proud of you my woman
Mi siogopi
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki yamkini ooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh
Ah you make a man wah wah wah
Woman why you do me like like that
You make me sing nah nah nah nah
She got that beauty kampa mama
Mapenzi yanaweza kuchipua njangwani
Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani
Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani
Yakikushika mapenzi mambo hadharani
Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani
Au ufungue moyo ndani uone dhamani
No game game-over nimesurrender
Sina-sina sera sina agenda
Sina pakwenda mtu ukipenda danger
Unaweza kusaga chuma ulivyoenda
Ulivyojitapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
Am proud of you my woman
Mi siogopi
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki yamkini ooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh
You too much sweety
Unapotabasamu hunionyeshi hamu
My lemon my sugar tam tam
Am proud of you my woman
Mi siogopi eh
Nawe ndo nyota ya kamchezo
Hii gharama hakuna cha dezo dezo
Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia
Amachotaka nakata
Pochi namnunulia
Namwaga manoti nahudumia
Hahitaji tochi namulikia
Kashavua upweke vua koti namkumbatia
I need by my side need you in my life
Sikumwagii sera za kuja kukulaghai
Me I tell you no lie, walai mama am die
Unaniipandisha mizuka, zuka
Naruka ruka matuta, tuta
Sifa nyingi za kukupa, kupa
Mwendo kama umejisusa, unajitupa
Funga kazi namba moja top top
Kote mwanamke wa Uswazi anajua soap soap
Chote anachovaa kinafaa dope dope
Kwake dope akikaa ndo balaa oh oh
Ulivyojitapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
Am proud of you my woman
Mi siogopi
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki yamkini ooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh
Comestas, niko na Darassa
Yeap, yeah baba, ooh lala
Vitu vitamu ndo vinagharamiwa
Watch Video
About Proud of You
More lyrics from Slave Becomes A King album
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl