Kidogo Lyrics
Kidogo Lyrics by TOMMY FLAVOUR
Wameshashika mo
Utawatoa roho
Kwako singoki ngo’
Una bless ya dough
Piki piki piki piki
Shika shika weka kiki
Kwa ruvuto weka tick
Nikuweke mpaka dp oohh
Ooh tena silidhiki bado
Unanibariki upendo ile double double
Wabugue vidonge, warueze na sitamol
Wanazo o –ngea eti muda
Nakupotezea ningoje mama
Kidogo kidogo kidogo
Uko na mimi
Kidogo kidogo kidogo
Naomba niamini baby girl
Me got you mama
Me get you girl
Me got you mama
Me get you girl
Me got you mama
Me get you girl
Me got you mama
Me get you girl
Oh oh toto
Nakuita namba moko
Kopa yetu logo noh noh
Kama zali embe dodo
Sweet kama jojo aahh
Oh tena silidhiki bado
Unanikabidhi upendo ile double double
Wabugue vidonge, warueze na sitamol
Wanazo o –ngea eti muda
Nakupotezea ningoje mama
Kidogo kidogo kidogo
Uko na mimi
Kidogo kidogo kidogo
Naomba niamini baby girl
Me got you mama
Me get you girl
Me got you mama
Me get you girl
Me got you mama
Me get you girl
Majuto mjukuu uniache mwenyewe, uniache mwenyewe
Furaha yetu sikukuu
Mbele yako nanukuu
Naapia kwa mungu
Ooh please believe me ooohh
Oh tene silidhiki bado
Unanibariki upendo ile double double
Wabugue vidonge, warueze na sitamol
Achana na story wanazo o –ngea eti muda
Nakupotezea ningoje mama
Kidogo kidogo kidogo
Uko na mimi
Kidogo kidogo kidogo
Naomba niamini baby girl
Me got you mama
Me get you girl
Me got you mama
Me get you girl
Watch Video
About Kidogo
More TOMMY FLAVOUR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl