Nakuja (Remix) Lyrics
Nakuja (Remix) Lyrics by TOMMY FLAVOUR
They call me king class
You know the sound
I gotta stay in the grind bado nina mishe mishe
Nimesahau birthday ya sister nenda ukaniwakilishe
Hakuna suspicion hata wajirahisishe
We gotta the same visin to complete this mission
Ni ndo msingi na ndo nshakua mdingi
Ni game ya ushindi nimeshaingia kingi
Ni huku ni kule kupitapita shillingi
Mambo sio mepesi kupitapita vigingi
I am a soldier hustle zimenoga
Shopping fashionova nakuletea nguo
Pia za viatu na mikoba
Kwa sonara kuna pete nimeweka order
Ntajiiba mara moja
Go hya hotel
There is a place you gon stay
The suitable room for you and it’s already been paid
Eat and drink, swing like a marry marry
Am coming to play baby, daddy is on the way
Nakuja baby, nakuja
Njiani nachanja mbuga
Nakuja baby, nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja baby, nakuja
Allow me, allow me baby nakuja
Nikamate, nikamate
Nikamatie kamatie usinibwage
Baby hold me down nitulie eeh
Nipatie yote ya kwangu mie eeh
Kila unapogusa gusa niko hoi
Haupoi, hauboi
Popote unapo shika na enjoy
Sikatai, sichomoi
Nakuja baby, nakuja oooh yeah
Allow me baby nakuja
Nakuja baby, nakuja oooh yeah
Allow me, allow me baby nakuja
Kama ajali mie
Kwako nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie
Wakini nyang’anya
Nakuja baby, nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja baby, nakuja
Allow me, allow me baby nakuja
Ooh baby njoo njoo njoo
Kulosa oooh ooh
Ooh baby come come come kulosa
Kwani umeumbwa kwa udongo ama
Umefinyangwa kama dongo
Baby kwani umenipiga zongo
Umefinyangwa kama dongo
Nakuja baby, nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja baby, nakuja
Allow me, allow me baby nakuja
Kama ajali mie
Kwako nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie
Wakini nyang’anya
Nakuja baby, nakuja
Allow me baby nakuja
Nakuja baby, nakuja
Allow me, allow me baby nakuja
Kama ajali mie
Kwako nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie
Wakini nyang’anya
Watch Video
About Nakuja (Remix)
More TOMMY FLAVOUR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl