Noma Lyrics
Noma Lyrics by BONGE LA NYAU
Nyauloso once again
Mapanch tenaa
Yaani kwenye maisha
Utakiwi kua na stress
Leo ukikosa kesho utapatana na we
Bado una nafasi imewekwa for you
Tengeneza nafasi imewekwa for you
Rohoo, kwenye maisha kaza roho
Usichoke kaza roho oh
Nawe utapata kaza roho oh
Roho oh, roho oh
Bei ghali, ooh bei ghali
Na kila kitu kinakuwa bei ghali
Bei ghali, ooh bei ghali
Jipandishe na wewe bei ghali
Maisha noma noma, kinoma noma
Maisha noma noma, kinoma noma
Hii life noma noma, kinoma noma
Maisha noma noma, kinoma noma
Kuna mwingine anahonga grace
Kaza moyo nawe God atabless
Haya maisha mwombe Jah atabless
Na vile tunaishi peace no case
Upo kitandani kusimama huwezi
Basi mwombe Mungu atakuwa nawe aah
Gerezani umebambiwa kesi
Mwache Mungu Baba atakuwa nawe aah
Rohoo, kwenye maisha kaza roho
Usichoke kaza roho oh
Nawe utapata kaza roho oh
Roho oh, roho oh
Bei ghali, ooh bei ghali
Na kila kitu kinakuwa bei ghali
Bei ghali, ooh bei ghali
Jipandishe na wewe bei ghali
Maisha noma noma, kinoma noma
Maisha noma noma, kinoma noma
Hii life noma noma, kinoma noma
Maisha noma noma, kinoma noma
Hata uwe na magari pesa nyumba
Hata uwe mbabe shinda Weather
Hata uwe na kiwanda cha mafedha
Hata uwe na akili zaidi ya professor
Usipokuwa na upendo wa dhati noma
Tusiishi kwa kulipana visasi noma
Rohoo, kwenye maisha kaza roho
Usichoke kaza roho oh
Nawe utapata kaza roho oh
Roho oh, roho oh
Bei ghali, ooh bei ghali
Na kila kitu kinakuwa bei ghali
Bei ghali, ooh bei ghali
Jipandishe na wewe bei ghali
Noma noma, kinoma noma
Maisha noma noma, kinoma noma
Hii life noma noma, kinoma noma
Maisha noma noma, kinoma noma
Watch Video
About Noma
More BONGE LA NYAU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl