No Love No Stress ft Young Lunya Lyrics
No Love No Stress ft Young Lunya Lyrics by MABANTU
Si wanapenda kubeng
Dj itisha please rudia hii
Pesa ya pombe hatuna waiter utatudai
Dada agiza tu walahi sitokudai
Ila namdenda namkuyata so atafurahi
[Young Lunya]
Kwanza sina shobo ya viswaswadu
Pesa huwanga chungu ila ya kwangu ni ya wadu
Kuna tabia tabia flani ukiingia clabu
Buzz ya peace huwa ni kali na zina mambo ya ajabu
Ndio maana mi staki dem (Staki dem)
Bora nipige boli au nicheze game
Maana kuna madem wanachotaka fame
Anakupa mchezo na anakuita shem
Wengine nuksi balaa balaa
Alafu sio mchezo nyuma Mashallah
Mambo anayotoa pwani mpaka balaa
Unaeza ukampa pesa ya kodi na mshahara
Mashaallah
Hivi anakupenda kweli au kisa anadaiwa kodi?
Eeh au kisa anadaiwa kodi
Hivi anakupenda kweli au kisa unamtumia vocha wewe
Eeh au kisa unamtumia vocha wewe
Wanangu tungi na mapenzi
Bora nini?(Bora tungi)
Sijaskia mnasema(Bora tungi)
Kumoka na mapenzi
Bora nini?(Kumoka)
Sijaskia mnasema(Bora kumoka)
No love, no stress
No love, no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
Ongeza moja mbili basi ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Ongeza ma moja mbili ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
[Moni Centrozone]
No love no stress my love is priceless
Nachotaka tu ni nice tent
Kuchora hadi tattoo wonders
Nikupate nikukate kisha ucheze
Nikumwage nikupe vidonge umeze
Ah usivalie kanga mi napata mawenge (Eeh)
Usifie chanda unaweza sema mi ni mende (Eeh)
Na noa upanga msitu haukatwi kwa wembe (Eeh)
Tukuta nishajipanga najiusia tende (Eeh)
Wanangu tungi na mapenzi
Bora nini?(Bora tungi)
Sijaskia mnasema(Bora tungi)
Kumoka na mapenzi
Bora nini?(Kumoka)
Sijaskia mnasema(Bora kumoka)
No love, no stress
No love, no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
No love, no stress
No love, nasema no stress
Ongeza moja mbili basi ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Ongeza mamoja mbili ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
Watch Video
About No Love No Stress ft Young Lunya
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl