Utu Lyrics
Utu Lyrics by ALIKIBA
(Yogo on the beats...)
You sweet like a pipi mama
I can fight, I can kill someone for you
Because I'm in a danger zone, oh no
This feeling feeling that am feeling
Is too much
I see future
Life with you is so brighter
Nakupenda sana you know that
I will die for you
Oooh sweetheart
Life with you is so sweeter
Nakupenda sana you know that
Nakupenda sana you know that yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia, oh my love
We ndo maana tamaa nazizuia, oh my love
Natupa maelfu kwa mamia, in this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu hukumu, zilishanikumba
Kwa mateso ya kung'ang'ania kupenda usipopendwa
Nilifosi kujificha kule, kumbe chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huko mabegani ananishika na hapa
Massage mgongoni yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia, oh my love
We ndo maana tamaa nazizuia, oh my love
Natupa maelfu kwa mamia, in this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
Aah namwona yeye, analia lia anapokuwa
Aah namwona yeye, akiniacha ananiombea dua
Aah namwona yeye, analia lia anapokuwa
Aah namwona yeye, akiniacha ananiombea dua
Watch Video
About Utu
More lyrics from Only One King album
More ALIKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl