Niite Lyrics
Niite Lyrics by DJ SEVEN
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
I really can get no sleep
Think about your love, want you close to me
Moyo unakuitaji na iko wazi on really
Nataka nikueleze juu exactly how I feel
Zile time tuko alone tuo ndani tume chill
Niite basi mpenzi nausha jua was a deal
Unavo niita mpenzi girl you know you drive me crazy
Wacha unione mshenzi me mwenzako sijiwezi
Aipiti siku if I don’t see you kama mwezi
Street nigga ila niko deep na mapenzi
Siambiwi wala kama ndezi
Au utasema kama vile niko bwii na maulevi
Na vile jinsi unavyo nukia so sexy
Marashi unapuliza girl you smell so fresh
Niite basi mpenzi uwe wangu
Kama mungu akipenda milele utakuwa wangu
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Me natakla twende kwetu kwa wazazi
Lakini mpenzi ubadilishe mavazi
Ili tukifika wasilete vipingamizi
Njoo basi njoo wangu mpenzi
I swear to God, we motto ni pretty
Naweka ndani mama tupate motto ikibidi
Naona jinsi unavo poa mapamba mawigi makopa kopa
Kwa wingi mapocho pocho kwa fridge
Lazima uwake, Lazima uwake
Inabidi uvimbe, ibabidi uwake
Ukianguka nikianguka unidake
Na imeandikwa kila abiria achunge mzigo wake
Na ndio maana nakuchunga nakuahidi mama ntakutunza
Nacho kipata ntaleta kwa nyumba
Ata mama alinifunza mwanamke nyumba naitunza
You know
Ndio maana nasema niite weweee
Ndio maana nasema niite beibeee
Ndio maana nasema niiii yeeeeh
Mmmh, ndio maana nasema niiiiiiiih
Beibe niite
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo home, njoo home
Watch Video
About Niite
More DJ SEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl