Usituchoshe Lyrics
Usituchoshe Lyrics by DJ SEVEN
Yeah wassup, 7
(Daxo Chali)
Si tushalewa, usituchoshe
Tushalewa, usituchoshe
Si tushalewa, usituchoshe
Tushalewa, usituchoshe
Angalia unayempenda
Elewana naye umbebe
Ita boda kama amesurrender
Ondoka naye ukam - aah
Say woyoo woyoo woyoo
Woyoo woyoo woyoo
Si tushalewa, usituchoshe
Tushalewa, usituchoshe
Oh my gad
We dada mbona umependeza sana
Oh my gad
Brother au mi nimelewa sana?
Kuna watu wanapenda Yanga, wananchi
Kuna watu wanapenda Simba, mnyama
Usituchoshe
Unajiita pisi kali hauna hata dressing table
Usituchoshe
Pisi kali ila ugomvi jeno light jebo
Usituchoshe
Mwajuma kainama babu Juma kasimama
Aii mama we mtoto una laana
Angalia unayempenda
Elewana naye umbebe
Ita boda kama amesurrender
Ondoka naye ukam - aah
Say woyoo woyoo woyoo
Woyoo woyoo woyoo
(Daxo Chali)
It's DJ Seven men
Worldwide baby
Watch Video
About Usituchoshe
More DJ SEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl