Kata Remix Lyrics
Kata Remix Lyrics by DJ SEVEN
Mapenzi kede mpaka naogopa
Ananipa wazimu naropoka
Kama nimekunywa mbege nadondoka
Nimelishwa uzembe narozoka
The way you dance my baby o, kata
Unanimaliza mwenzio, kata
Nipe kwa sikio, yaani nahema ka niko mbio
Vuru vuru baby wanivuruga, kata
Hatuelewani kizungu na kilugha
Kibaridi ka vile kokochunga, kata kata
Show watabamba, kanibamba
Oooh umenibamba
Show imenibamba
Ah chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko ooh
Chereko, mbeleko aya
Chereko, mbeleko
chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko haya
Chereko eeeh
Show me the stamina
You got the formula
Mmmh--- dance a likkle bit
I know you are feeling the feeling better
And you famous you make hit
Eeh you make hit
So don't even go, kata
I want some more, kata
-- kata
What a bam bam, kanibamba
Ah chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko ooh
Chereko, mbeleko aya
Chereko, mbeleko
chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko haya
Chereko eeeh
Mpenzi tumetoka mbali
I love the way you cry me
Chumbani sikumalizi
Oooh we ndo bahari piga mbizi
Baby yeah yeah
Utajua mimi sijiwezi
Baby eh eh
Ulivyo nai nai (Ulivyo nai nai)
Ulivyo sexy sexy sexy
Ulivyo sexy sexy sexy
Ghetto paradise
Vuru vuru baby wanivuruga, kata
Hatuelewani kizungu na kilugha
Kibaridi ka vile kokochunga, kata kata
Show watabamba, kanibamba
Oooh umenibamba
Show imenibamba
Ah chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko ooh
Chereko, mbeleko aya
Chereko, mbeleko
chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko haya
Chereko eeeh
Watch Video
About Kata Remix
More DJ SEVEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl