Ilete Lyrics
Ilete Lyrics by KILLY
(Mocco)
The only thing I want to say
Chunga usijekuniacha ukalete tafarani ikaja kuwa ndoto
Hata sing'oki kwako sikosei tena unizalie na mapacha
Nitaweka mambo hadharani wapate joto
Sio kama najigamba uongo kwangu mwiko (Mwiko mwiko)
We ndo wangu namba moja (Niko niko niko)
Usijekata kamba we ndo langu jiko
Yaani wasijaribu kukungoja nipo
Hata kukikucha alfajiri, aah aah
Jogoo akishawika unapambana na yeye, unapambana na yeye
Mpaka nasemaga subiri, aah
Jasho lanitiririka unakazana na yeye
Unakazana dah
Pasi huku niweke kimyani
Ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nile nisaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Umenikolea, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nichanganye nipumbaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nagongelea
Nishakiopolea kilichobaki ni ubani
Nishachana nyavu anaongea na wanatupandisha dhamani
Aah sitaki kukuona ukiwa unalia ah ah
Nishajikoki utapona nitakupatia raha ah
Na niseme nishakuwa pole
Utakifanya vibaya aah
Unawomesha wataona ata kwa bahati mbaya ah ah
Hata kukikucha alfajiri, aah aah
Jogoo akishawika unapambana na yeye, unapambana na yeye
Mpaka nasemaga subiri, aah
Jasho lanitiririka unakazana na yeye
Unakazana dah
Pasi huku niweke kimyani
Ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nile nisaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Umenikolea, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nichanganye nipumbaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nagongelea
Watch Video
About Ilete
More lyrics from The Green Light (EP) album
More KILLY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl